Mtu wako wa nguvu Millard Ayo alipata nafasi ya kualikwa na kuhojiwa na mtangazaji Mtanzania Sporah kutoka kwenye THE SPORAH SHOW, show ya TV ambayo kwa muda mrefu imefanya kazi nzuri ya kuhoji watu mbalimbali.Kama ulikua hujawahi kukutana na kijiwe chochote kikimuhoji Millard Ayo, unaweza kuitazama Interview yenyewe kwenye hii video mtu wangu na kama ndio mara yako ya kwanza kusikia jina la Millard, kwa ufupi tu ni Mtangazaji wa Radio na TV kutokea Tanzania ambaye kwa sasa anafanya kazi na CloudsFM.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment