Baada ya hivi karibuni, staa na mwanamuziki mkongwe nchini, Ray C,
kupitia ukurasa wake wa instagram, kupost picha ya baba mlezi wa
mwanamitindo maarufu Kim Kardashian, Bruce Jenner (Caitlyn ), ambaye
amejibadil jinsia yake na kuwa mwanamke. Staa huyo alianza kumsifia
shoga huyo kuwa ni mzuri kuliko ata mke wake, kauli iliyozua utata kwa
baadhi ya mastaa na mashabiki wake, wakimlaani staa huyo aliyejinadi
kuokoka ivi karibuni kusapoti ushoga wakati anajua ni dhambi.
Ata hivyo staa huyo amewajia juu baadhi ya mashabiki zake na mastaa
wenzie na kuwataka kuacha unafki wakati ata apa bongo kuna mashoga ambao
ni marafiki wa mastaa wengi apa nchini, msikie Ray C..
"Wabongo bwana!!!! Mnajifanya mnamponda Huyu wakati mashoga mnaishi nao
mitaani,tena mnawalipa kabisa waje wasasambue kwenye vibao kata!tena
haohao mashoga ndio wanaowataftia mabwana!mashoga ndio makuwadi wakubwa
wa Dada zetu mitaani tena kuwapa maxi zaidi mashoga ndio marafiki
wakubwa wa mastaa hapa mjini!
Mastaa kibao wanazunguka na mashoga kwenye kumbi za starehe bila hata
aibu!humuhumu insta kuna mashoga kibao na wanajulikana na mnawafollow na
kuwasifia Niwataje?
Afu mnajifanya mnamponda huyo chakla hapo juu wakati lango la jiji
wamejaa tele kwenye taarab ndo usisema!acheni fitna!kama mnapinga hili
jambo anzeni kuwapinga wa nyumbani kwanza sio mnamponda MTU aliekuwa
dunia nyingine !!!".
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 9 June 2015
Post a Comment