Mwandishi wa Habari kwa jina Omar Ali mzaliwa wa Mkoani Kangani kisiwani
Pemba, jana mida ya asubuhi ameshambuliwa na kupigwa vibaya sana na
jeshi la Polisi Zanzibar na kutupwa maeneo ya Maisara mjini Zanzibar.
Mwandishi huyu alikuwa anachukua habari kutoka kituo cha uandikishaji
dafatari la kudumu maeneo ya Migombani Zanzibar na polisi hao
inasadikiwa walisema ni mwandishi wa Chama cha Wananchi CUF na ndipo
walipomshika na kuanza kumpiga vibaya sana na kumvunja miguu kama
anavyoonekana kwenye picha akiwa hospital mahutui miguu ikiwa imevujika.
Ikumbukwe:
Matukio haya yanakuja baada ya wananchi wa Zanzibar kuhakikisha kila
kituo hawezi kuandikishwa mtu ambaye hahusiki kama ambavyo tumeona na
kuskia kupitia vyanzo mbali mbali mpango wa CCM kupeleka mamluki
visiwani Zanzibar kujiandikisha kwaajili ya kukiokoa Chama cha Mapinduzi
hasa Zanzibar ambako kuna kila dalili kungoka madarakani Oktoba mwaka
huu.
Chanzo: (http://www.udakuspecially.com/2015/06/polisi-wampiga-vibaya-mwandishi-wa.html)
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Monday, 29 June 2015
Post a Comment