LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...
Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmi
mpenzi wake mpya ambaye amedai ni msanii
mkubwa wa nchini Nigeria.
Linah
Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha
East Africa Radio, Linah alisema anampenda
mpenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,
ataamua kumweka wazi ili mashabiki
wamtambue.
“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwa
sana, yaani huyo nampenda na hii sio project ipo
real, mtamuona tu bado wakati,a hizi ni dondoo,
wa Nigeria,” alisema Linah.
Kweli? Itajulikana tu. ila wale wezi wa mabwana za watu wajipange upya...
JE, UNADHANI LINAH KWANINI KAFUNGUKA KWA UZITO NAMNA HYO?
Post a Comment