Brighton masalu BILA
kuwataja kwa majina, msanii wa filamu mwenye Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’
amesema kitendo cha baadhi ya wasanii wanaojiona wamefikia vilele vyote
vya mafanikio na kuwafanyia roho mbaya wenzao, ndiyo moja kati ya sababu
kubwa zinazochangia sanaa ya uigizaji kuporomoka.
Msanii wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’.
‘Akibwabwaja’ na mwandishi wetu hivi karibuni, Mainda ambaye kwa sasa
‘amepangua gia’ zote zenye kasi katika sanaa na kuamua kujikabidhi
madhabahuni kwa Mungu, alisema wasanii wasihangaike kumtafuta mchawi,
badala yake wajichunguze na kujitazama upya kwani wengi wao wana roho
mbaya za kutotaka wengine wapige hatua katika sanaa.
“Hakuna watu wenye roho mbaya kama wasanii wa uigizaji, kuna ambao
wanajiona wamefika vilele vya mafanikio na kwamba hakuna mwingine zaidi
yao, hivyo wamekuwa wakiwafanyia fitina wanaokuja kwa kasi kwa kuwapiga
majungu, wajiangalie upya na Mungu wa mbinguni awasaidie sana,” alisema
Mainda.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
on Saturday, 20 June 2015
Post a Comment