Wiki iliyopita Wema Sepetu alitangaza nia yake ya Kugombea
Ubunge huku mastaa Mbalimbali wakijitokeza kumpa hongera kwa uamuzi wake
huu wa kugombea ubunge wa viti maalumu.
Mmoja kati ya wasanii waliojitokeza kumuunga mkono Wema Sepetu ni Mwigizaji Mzee King Majuto.
Mzee Majuto kapost katika mtandao wa Instagram na Kuandika haya:
“Nisingependa
kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha
umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na
amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili
kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa
wanawake kushika hatamu na kuleta mabadiliko.Kapeleke mabadiliko Singida
na Tanzania nzima. Muhimu ni kuwa na juhudi uwezo imani pamoja na
uzalendo. Ujumbe huu pia ni kwa kila kijana na mwanamke mwenye lengo na
nia ya udhubutu. Inshallah. Ramadhan Maqbul Waislam wote.”
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Politics
on Monday, 22 June 2015
Post a Comment