Rais wa Marekani Mh. Barack Obama akiwa ndani ya Air Force One huku akiendelea na kazi zake za kila siku.
Rais Obama akiongea na washauri wake ndani ya Air Force One.
Rais wa Ufaransa Mh. Francois Hollande akipata chakula cha mchana na Rais Obama ndani ya Air Force One.
Rais Barack Obama akiwa ndani ya helikopta yake maarufu kama Marine One.
Aliyekua
Rais wa Urusi ambae sasa ni waziri mkuu Mh. Dmitry Medvedev (kulia),
wakibadilishana mawazo na Rais Obama ndani ya gari la Mh. Obama maarufu
kama The Beast.
Rais Barack Obama akishuka ndani ya The Beast.
Post a Comment