Super star kiwango anayetikisa East Africa kwa sasa , zarinah hassan aka
bossy lady, amefunguka kuhusu scandal ya usagaji iliyomtafuna miezi
michache iliyopita, akizungumza kupitia kipindi cha sporah show, mrembo
huyo mwenye mvuto wa aina yake alifunguka kuhusu kashfa hyo, ambapo
picha yake akiwa kwenye mahaba na mrembo mwenzie zilisambazwa mitandaoni
na kuzua gumzo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
Mwenyewe alijitetea kuwa walikuwa kwenye starehe zao yeye pamoja rafiki
zake, ambapo kila mtu alikuwa na mpenzi wake, so ilitokea tu wakajikuta
wamekisi na rafiki yake huyo wa kike katika hali ya furaha kama marafiki
wengine tu, na hakufikiria kuwa lile tukio lingekuwa ishu sana kwenye
mitandao. aliendelea kutiririka kuwa yeye sio msagaji na anapenda
wanaume kama wasichana wengine
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 29 May 2015
Post a Comment