Lauren Jauregui, Ally Brooke, Normani Hamilton, Dinah-Jane Hansen na Camila Cabello wa Fifth Harmony wakiwa kwenye pozi.
Wiz Khalifa akiwasili ndani ya Ukumbi wa MGM Grand kwa ajili ya tuzo hizo.
Zendaya akiwasili katika tuzo hizo.
One Direction nao walishiriki tuzo hizo.
Zendaya,
Hailee Steinfeld, Taylor Swift, Lily Aldridge na Martha Hunt wakipozi
wakati wa Tuzo za Muziki za Billboard 2015 jana katika Ukumbi wa MGM
Grand jijini Las Vegas, Nevada.
Andy Hurley, Pete Wentz, Patrick Stump na Joe Trohman wa Fall Out Boy nao walikuwepo wakati wa tuzo hizo jana.
50 Cent na Jennifer Lopez wakila pozi katika Red Carpet.
Iggy Azalea na Britney Spears wakiwa katika tuzo hizo.
Mariah Carey katika pozi.
Nick Jonas.
Jennifer Lopez akipozi katika Red Carpet.
Chris Brown na binti yake wakiwa katika pozi.
Post a Comment