Hizi ni picha jinsi tukio zimalilivyokuwa
Wahu pamoja na Nameless
ambaye wote ni wanamuziki na pia ni mke na mume wana historia ndefu sana
na kama ujuavyo mapenzi kati ya mastaa wawili kudumu inakuwa ni tatizo
kidogo lakini ni jambo la kawaida kwa Wahu na Nameless.
Siku chache zilizopita Nameless alikwenda kuperform kwenye MTV event ambapo alikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria event hiyo. Nameless alipokuwa jukwaani alikuja shabiki wake na kuanza kucheza naye lakini kwa style walikuwa wakicheze Wahu hakuipenda kabisa hivyo aliamu kwenda kwa mumewe na kumwambia kitu kisha aliondoka zake baada ya kuchukizwa na uchezaji wa mumewe na shabiki yake.

Post a Comment