Licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za
Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi
cha power breakfast.
Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali
sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na
vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj
na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.
Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana
uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na
Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake
Fredwaa mnauwa kipaji chake.
By Matola-JF
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Monday, 18 May 2015
Post a Comment