Baada ya ile sauti ya Nuh Mziwanda akidaiwa kuzungumza na Wema Sepetu
kuvuja sana kwenye mitandao ya kijamii, leo Nuh amezungumza na kusema
ni uvumi.
Nuh amezungumza na Soudy Brown na kusema iyo sauti ni watu wanatafuta
wameamua kuitengenzea kwa masilahi yao wenyewe na si yeye kama
inayodaiwa, amesema hakuna kitu kama hicho, na hataki kuongelea sana
mambo hayo.
Amesema imemuharibia sana na hata simu yake kuvunjwa na Shilole pia,
nguvu ya kufanya kazi kwake imepungua..na anaamini watu waliofanya hivyo
ni anaokutana nao na kuchekea nao kila siku.
Msikilize mwenyewe akizungumza na Soudy Brown hapa…
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 4 August 2015
Post a Comment