Nina umri wa miaka 20 ni mvulana na ni mwanafunzi ninaishi na mjomba
wangu mwenye zaidi ya miaka 40 kutokana na maisha kubana nyumbani
niliamua kwenda kuishi naye huku nikitegemea kwenda shule.
Baada ya miezi mitatu tangu niishi naye aliniita usiku na kunivua
kaptula na kunifanyia kitendo cha kinyama hicho na mara nyingi unitishia
kunitimua kama nikisema sasa nataka anitimue nimshitaki.
Naombeni msaada nataka kumshitaki Mahakamani baada ya kunichosha na
uchafu wake huu. Ukweli inaniuma kwa kunivua utu wangu mimi sina hela
ila yeye ana fedha ya kutosha yaani ni tajiri nataka ache mchezo wake wa
kijinga huu.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Saturday, 15 August 2015
Post a Comment