Baada ya matokeo ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka
na Wema Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa
Kuandika ujumbe huu;
Kuna matokeo ya aina 3
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo.
Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia

Post a Comment