Staa wa Bongo Movies aliehamishia makazi ughaibuni, Lucy Komba ambaye
ameolewa na ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu
walioishambulia picha yake hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye ukurasa wake
mtandaoni.
Lucy alianza kwa kuweka picha hiyo ya kuchora ambayo ndiyo ilileta
utata na kuibua majibizano ya maneno kati ya watu ambao waliona kuwa
picha hiyo haina shida na wengine wengi wakisema picha hiyo haina
maadili na ukizingatia yeye ni mke wa mtu.
“Mshamba anataka attention mke wa mtu huwez jichetua hvo hata kama umeolewa na mzungu” mchangiaje mmoja aliandika.
Baada ya vita kubwa ya maneno ndipo Lucy aliweka picha halisi ya mchoro huo na kuandika haya.
"Picha asilia hii hapa wale wenye midomo mipana wanaosema mimi
nimeshika uke hapo nimeshika uke?
"Pelekeni umbeya wenu na upashikuna
huko, mke wa mtu nimeolewa na baba zenu mpaka awaume mwenye mke katulia
tulii nyie ndo mate yanawatoka.
"Ndio nataka atenshen kwa baba ako kuku
wewe, kama unaona vipi njoo uolewe wewe uvae mabaibui, naweka picha
ninayotaka natoa ninavyotaka sijakuita hutaki jitoe sina muda tena wa
kuanza kuchagua nimuache nani nimtoe nani jitoe mwenyewe kwa mshamba
mimi."
Post a Comment