Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAFISADI WAMUANDAMA NAPE MTAMA

 

Ikiwa imebaki siku moja kufanyika kwa kura za maoni Ubunge wa Jimbo la Mtama ,kumekuwa na michezo ya kumchafua kisiasa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye ni mmoja wa wagombea wenye nguvu kubwa kwa jimbo la Mtama.

Huku hujuma hizo zikihusishwa na mikakati ya mafisadi kumzuia Nape, ambaye amekuwa mwiba mkali sana kwa mafisadi kwa miaka sasa, ametajwa aliyekuwa akitafuta kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM ambaye jina lake lilikatwa katika hatua za awali kuhusika na njama hizo chafu.

Taarifa zilizosambazwa jioni hii kwenye mitandao mbalimbali zilidai Nape amehojiwa na Takukuru Lindi kwa Masaa matano wakati haikuwa kweli.

Kamanda wa PCCB mkoa wa Lindi S. Chami amethibitisha kuwa Nape Nnauye alikuwa ametoa pesa benki kwa ajili ya malipo ya mawakala na si wajumbe kama ilivyovumishwa.

"
CORRECTION: After questioning, it turned out that the money Nape Nnauye withdrew was for agents, not delegates, Lindi PCCB boss S. Chami clarifies Friday."
Nape amesema anajua mafisadi wanahaha kumchafua hata kufikia hatua ya kutumia baadhi ya watumishi wa serikali na mitandao ya kijamii lakini hawatofanikiwa.
" Najua wanaogopa nikiingia bungeni itakuwa kiama chao, sasa wanahaha kunizuia. Wametumia pesa na ghiliba za kila namna wanashindwa na watashindwa vibaya kesho. Mungu mkubwa" alikaririwa Nape.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 2025 24hours | Designed By Code Nirvana
Back To Top