Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania
(THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wake,
Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka kiukoo wa mpenzi wa
mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The
Boss Lady.’
Akizungumza na Amani kwenye mahojiano maalum alipotimba katika Tamasha
la Filamu la Kimataifa (ZIFF), Zanzibar hivi karibuni, Linah alisema
kuwa ana furaha maishani mwake kwa kumpata mtu mwenye mapenzi ya kweli
ambaye atafunga naye ndoa ‘soon’.
“
Tayari ameshanichumbia, anajulikana kwetu na mimi najulikana kwao. Kifuatacho ni ndoa yangu,” alisema Linah ambaye hivi karibuni amesema ataachia wimbo mpya utakaokuwa gumzo.
Furaha ya Linah inakuja kufuatia kumpata mwanaume huyo ambaye amekuwa
akionekana naye kila kiwanja wakiwa wamegandana kimahaba ikiwa ni miezi
kadhaa tangu alipodai kuporwa bwana’ke, Nagari Kombo anayedaiwa
kakwapuliwa na Wema Sepetu.
Kabla ya Boss Mtoto na Kombo, huko nyuma Linah aliwahi kuripotiwa kuwa
kwenye uchumba ‘serious’ na msanii mwenzake, Amini Mwinyimkuu.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Thursday, 30 July 2015
Post a Comment