Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WANAUME WAVAA SKETI KU- SUPPORT MAANDAMANO YA WANAWAKE -PICHAZ

Kuna namna mbalimbali ya kusupport harakati, unaweza ukabeba bango lako mwenyewe, au siku hizi teknolojia, unaweza ukaingia zako tu Twitter halafu unaweka hashtag, basi unakuwa umetoa support yako ya nguvu.Hawa jamaa wa Uturuki wameona isiwe tabu, wameingia zao na wenyewe mtaani wakiwa wamevaa zao sketi za wanawake ili tu ku show support yao ya nguvu kwa wanawake ambao walikuwa wakiandamana kulaani mauaji ya mwanamke mmojaOzgecan Aslan ambaye aliuawa na mwanaume aliyetaka kumbaka.
Wanawake wakaingia mtaani kudai haki zao kwa kuwa kitendo hicho kilionyesha ukatili na unyanyasaji wa wanawake kwa hali ya juu, wanaume wanaosupport nao wakaongeza nguvu kwa kuvaa sketi pia na kuandamana.
Wababa na sketi zao kwenye maandamano.
Hawa huenda majukumu yaliwabana wakashindwa kuingia mtaani kuandamana, basi wakatupia PICHAZ na sketi zao mitandaoni.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top