Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mchumba wa Chilole, Nuh Mziwanda Amkana Msichana Aliyedai Kuwa na Mimba Yake

Mchumba wa Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva Zuwena Mohammed ‘Shilole’,  Nuh Mziwanda amefunguka baada ya msichana Rose John kudai kuwa ana ujauzito wa miezi miwili wa msanii huyo.

Msichana huyo alizungumza jana kupitia Uheard na Soud Brown ambapo alisema kuwa amekuwa na uhusiano na Nuh kwa miaka miwili lakini walitengana baada ya kusikia ana uhusiano na msanii Shilole na kwamba amechora tatuu ya jina lake.

Niliachana naye baada ya kusikia na uhusiano na Shilole na pia amechora tatuu ya jina lake lakini tulianza tena uhusiano miezi miwili iliyopita niliamua kupima ndiyo nikagundua nina mimba ya miezi miwili,’’alisema Rose.

Rose aliongeza kuwa hana mpango wa kutoa mimba hiyo kwa sababu anapenda msanii huyo ndiyo maana ameamua kumzalia.

Kwa mujibu wa msichana huyo alisema kuwa Shilole na marafiki zake walimfanyia vurugu na kumdhalilisha kwa kumpiga kumchania nguo hadi kupoteza simu na vitu vyake vingine.

Hata hivyo kupitia akaunti yake ya Instagram Nuh Mziwanda alifunguka na kumjibu msichana huyo… Ndiyo mimba ni Jambo la Kheri’ila ni special na Maalumu kwa nimpendae’na sio Huyo dada anaetangaza Ana mimba yangu’na anazidi kutangaza kwenye vituo vya habari tofauti’mbona hakutangaza kama Mimi bwana wake aje kusema Ana mimba yangu’Naomba mwambie ajipange tena upyaaaa aje na nyingi be’…
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top