Umewahi kusikia habari za Kadra Mohamed? kama bado ni lazima usikie.
Yeye ni mwanamke wa kwanza wa Somalia kuwa Afisa wa Polisi katika mji wa Minnesota nchini Marekani kuvaa hijabu akiwa kazini.
Kadra mwenye umri wa miaka 22 ameandika historia katika dunia.
Kadra amemaliza masomo ya mafunzo ya Upolisi mwezi Mei mwaka huu katika chuo cha St Paul Police Academy.
Alijiunga
na St Paul mwezi Machi mwaka jana katika ulinzi shirikishi baada ya
idara hiyo ya Polisi kupitisha sheria ya kuruhusu wanawake kuvaa Hijabu.
St.
Paul ni moja ya idara chache za polisi nchini Marekani ambayo inaruhusu
wanawake kuvaa Hijabu wakiwa kazini. Kwa njia hii wanamatumaini
kuwawezesha wanawake wa kiislamu kutekeleza kazi zao vizuri na
kuzingatia sheria.
Kadra alizaliwa katika kambi ya wakimbizi nchini Kenya mwaka 1991 baada ya wazazi wake kukimbia kutoka mji wa Mogadishu, nchini Somalia kufuatia vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Mama yake anaitwa Zamzam mwenye asili ya Somalia na baba yake ni mtu mwenye asili ya Ethiopia anaitwa hassan.
Kadra anatoka katika familia ya watoto wanne, wawili wa kiume na wawili wa kike, baba yake alifariki yeye akiwa na umri wa miaka 12.
Kuna
wanawake mamilioni kama Kadra wanataka kufikia malengo yao lakini
wanakwamishwa na sheria zenye kuwabana kutimiza wajibu wa dini yao.
Ni
muda sasa wa kuanza kushinikiza kuondolewa sheria zinazozuia waislamu
kutokutimiza wajibu wa dini yao wanapokuwa makazini hususani polisi
wanawake nchini Tanzania.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Thursday, 4 June 2015
Post a Comment