Mwanamitindo na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama
‘Kidoti’ amejikuta akiambulia matusi ya nguoni kwa kosa la kumpongeza
msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba baada ya kutwaa tuzo tano za
Kili Music Awards zilizotolewa mwezi huu jijini Dar.
Mwanadada huyo ameioga mvua hiyo ya matusi katika akaunti yake ya
Mtandao wa Kijamii wa Intagram kwa watu tofauti kwa kile kilichodaiwa
kuwa anahaha baada kuachwa na Mbongo Fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’
ambapo ameamua kufanya hivyo ili kuupoza mtima wake na kwa sasa kuna
taarifa kwamba Ali Kiba ndiye anayemmiliki mtoto huyo.
Baada ya kutokea ishu hiyo, Mwandishi alimtafuta Jokate ili kusikia
anazungumziaje hilo ambapo alisema: “Nashindwa kuielewa jamii inataka
mtu aishi vipi, lakini yote kwa yote siwezi nikamkandia mtu kwenye
muziki wake, kwa upande wangu mimi ni shabiki wa Ali Kiba kwa sababu
ninapenda kazi zake na hakuna wa kunizuia kufanya chochote juu yake.”
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 26 June 2015
Post a Comment