Mwigulu Nchemba akiwa na Mama Maria Nyerere hii leo Kijijini Butiama,Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere alipokwenda kusalimia .Mwigulu
Nchemba akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa
Mwl.Nyerere,Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa kuwa Muasisi wa Taifa letu
na Kiongozi aliyeweka Misingi Imara ya Tanzania tuliyonayo sasa.Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama Maria nyerere hii leo,Nyumbani Butiama.Wakati
wa kuchota Baraka za Mama Maria nyerere akiwa kama mmoja ya waasisi wa
Taifa letu,Mwigulu akionekana kuwa makini sana kusikiliza Ujumbe wa Mama
Maria Nyerere.Mh:Mwigulu Nchemba akiwasha Mshumaa kama ishara ya Kumtakia Pumziko la Amani Baba wa Taifa.
"WAKATI NI SASA,MABADILIKO KWA VITENDO"
Post a Comment