Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Tuko Live kutoka ukumbi wa BOT Mwanza: Mkutano wa Steven Wassira kutangaza nia ya Kugombea Urais

Waziri wa Kilimo na Chakula Mhe. Steven Masatu Wasira leo anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa  tiketi  ya  CCM  katika ukumbi wa BOT uliopo jijini Mwanza.

Mgeni rasmi (Wassira) ameshaingia ndani ya ukumbi na kuna wageni wengi ambao wamejaza ukumbi.
 
Kuna wabunge ambao wamemuunga mkono mh Wassira ambao ni Nyangwine,kuna mbunge wa Dole na Bukoba Vijijini mh Charles Rweikiza.

Wassira ni mbunge wa Bunda na waziri wa Chakula na ushirika.
Hapa  nimekuandika  pointi  muhimu  anazotoa  Wasira;

8: Serikali yangu itahakikisha uchumi wetu unaendelea kukua juu zaidi na Watanzania kuwezeshwa na kuendesha uchumi.

7: Nitasimamia utumishi wa umma uimarishwe zaidi na kuhakikisha unatoa shughuli zake kwa usahihi.

6: Nitahakikisha Mahakama, Serikali na Bunge zinaimarishwa.

5: Mambo ya msingi nitayozingatia kwenye uongozi wangu ni kuendeleza Tanzania imara, umoja, amani na mshikamano.
 
4: Baada ya kutafakari kwa muda nimeamua kugombea nafasi hii ya juu maana nimeona ni wakati sahihi kwangu.
3: Mimi ni miongoni mwa Watanzania wachache wanaoijua vizuri Tanzania ya jana, ya leo na Tanzania ya kesho. 
 
2: Sababu za mimi kugombea Urais,  kwanza ni haki yangu ya msingi,  pili naijua vizuri Tanzania.

1: Leo nimekuja hapa Mwanza kwaajili ya kukata ukimya na kutangaza rasmi nia ya kugombea Urais wa Tanzania 2015.  
Source; Mpekuzi
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top