Brighton Masalu
MTOTO ‘laini’ kunako tasnia ya urembo na filamu Bongo, Wema Sepetu
ameeleza kwa hisia kali jinsi anavyompenda Naibu Waziri wa Sayansi na
Teknolojia, Mhe. January Makamba katika utendaji kazi wake.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, mbele ya naibu waziri huyo,
Wema alisema miongoni mwa viongozi ambao humyima usingizi katika
kuliongoza taifa hili kwa weredi mkubwa ni pamoja na Makamba.“
Yeah, kusema ukweli nampenda sana Makamba, hakika ananivutia kwa mengi, hususan utendaji kazi wake,” alisema Wema.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Sunday, 9 August 2015
Post a Comment